Jeremiah 10:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, hakuna aliye kama wewe; wewe ni mkuu na nguvu yako yajulikana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna aliye kama wewe, Ee Mwenyezi Mungu; wewe ni mkuu, jina lako ni lenye nguvu na uweza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapana hata mmoja aliye kama wewe, Ee Bwana; wewe ndiwe uliye mkuu, na jina lako ni kuu katika uweza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, hakuna aliye kama wewe; wewe ni mkuu na nguvu yako yajulikana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna aliye kama wewe, Ee BWANA; wewe ni mkuu, jina lako ni lenye nguvu katika uweza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna aliye kama wewe, Ee bwana; wewe ni mkuu, jina lako ni lenye nguvu katika uweza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapana hata mmoja aliye kama wewe, Ee BWANA; wewe ndiwe uliye mkuu, na jina lako ni kuu katika uweza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, hakuna aliye kama wewe; wewe ni mkuu na nguvu yako yajulikana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakuna afananaye na wewe, Bwana! Mkuu ndiwe wewe, nalo Jina lako ni kuu lenye nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapana hata mmoja aliye kama wewe, Ee BWANA; wewe ndiwe uliye mkuu, na jina lako ni kuu katika uweza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, hakuna anayekuwa kama wewe; wewe ni mukubwa na nguvu yako inajulikana.