Jeremiah 10:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote ni wajinga na wapumbavu mafunzo ya vinyago ni upuuzi mtupu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote hawana akili, tena ni wapumbavu; wanafundishwa na sanamu batili za miti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini wote pia huwa kama wanyama, ni wapumbavu. Haya ni maelezo ya sanamu, ni shina la mti tu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote ni wajinga na wapumbavu mafunzo ya vinyago ni upuuzi mtupu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote hawana akili tena ni wapumbavu, wanafundishwa na sanamu za miti zisizofaa lo lote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote hawana akili, tena ni wapumbavu, wanafundishwa na sanamu za miti zisizofaa lolote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wote pia huwa kama wanyama, ni wapumbavu. Haya ni maelezo ya sanamu, ni shina la mti tu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote ni wajinga na wapumbavu mafunzo ya vinyago ni upuuzi mtupu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote pamoja ni wajinga na wapumbavu, mafundisho yao wasio kitu ndiyo mti mtupu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wote pia huwa kama wanyama, ni wapumbavu. Haya ni maelezo ya sanamu, ni shina la mti tu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote ni wajinga na wapumbafu, fundisho la sanamu hizi ni mazarau matupu!