Jeremiah 11:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati fulani, mimi nilisema, wao ni mzeituni wenye majani mabichi, mzeituni mzuri na wenye matunda mema; lakini sasa, kwa ngurumo ya dhoruba kubwa, nitauchoma moto na kuyateketeza matawi yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu alikuita jina lako Mzeituni uliostawi, wenye matunda yakupendeza. Lakini kwa ngurumo ya mawimbi makuu atautia moto, nayo matawi yake yatavunjika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana alikuita jina lako, Mzeituni wenye majani mabichi, mzuri, wenye matunda mema; kwa kelele za mshindo mkuu amewasha moto juu yake, na matawi yake yamevunjika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati fulani, mimi nilisema, wao ni mzeituni wenye majani mabichi, mzeituni mzuri na wenye matunda mema; lakini sasa, kwa ngurumo ya dhoruba kubwa, nitauchoma moto na kuyateketeza matawi yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA alikuita mti wa mzeituni uliostawi ulio na matunda mazuri kwa sura. Lakini kwa ngurumo ya mawimbi makuu atautia moto, nayo matawi yake yatavunjika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana alikuita mti wa mzeituni uliostawi ulio na matunda mazuri kwa sura. Lakini kwa ngurumo ya mawimbi makuu atautia moto, nayo matawi yake yatavunjika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA alikuita jina lako, Mzeituni wenye majani mabichi, mzuri, wenye matunda mema; kwa kelele za mshindo mkuu amewasha moto juu yake, na matawi yake yamevunjika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati fulani, mimi nilisema, wao ni mzeituni wenye majani mabichi, mzeituni mzuri na wenye matunda mema; lakini sasa, kwa ngurumo ya dhoruba kubwa, nitauchoma moto na kuyateketeza matawi yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana alikuita jina lako mchekele wenye majani mengi wa kupendeza macho kwa kuzaa vizuri, lakini sasa wengi wanaupigia makelele makubwa, maana ameuwashia moto wa kuuchoma, nayo matawi yake yamevunjika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA alikuita jina lako, Mzeituni wenye majani mabichi, mzuri, wenye matunda mema; kwa kelele za mshindo mkuu amewasha moto juu yake, na matawi yake yamevunjika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati fulani, mimi nilisema kwamba wao ni muzeituni wenye majani mabichi, muzeituni muzuri na wenye matunda mema; lakini sasa, kwa ngurumo ya zoruba kubwa, nitauchoma kwa moto na kuyateketeza matawi yake.