Jeremiah 11:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu alinijulisha, nami nikaelewa; Mwenyezi-Mungu alinijulisha njama zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu Mwenyezi Mungu alinifunulia na kunionesha hila zao mbaya, na waliyokuwa wanayafanya niliyafahamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Bwana akanijulisha haya, nami nikayajua; ndipo uliponionyesha matendo yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu alinijulisha, nami nikaelewa; Mwenyezi-Mungu alinijulisha njama zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu BWANA alinifunulia hila zao mbaya, nilizifahamu, kwa kuwa wakati ule alinionyesha yale waliyokuwa wanayafanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu bwana alinifunulia hila zao mbaya, nilizifahamu, kwa kuwa wakati ule alinionyesha yale waliyokuwa wanayafanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena BWANA akanijulisha haya, nami nikayajua; ndipo uliponionesha matendo yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu alinijulisha, nami nikaelewa; Mwenyezi-Mungu alinijulisha njama zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akanijulisha, ndipo, nilipojua, kisha akanionyesha matendo yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena BWANA akanijulisha haya, nami nikayajua; ndipo uliponionyesha matendo yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe alinijulisha, nami nikaelewa; Yawe alinijulisha shauri lao baya.