Jeremiah 11:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami nilikuwa kama kondoo mpole anayepelekwa machinjoni; sikujua kuwa njama walizofanya zilikuwa dhidi yangu. Walisema: “Na tuuharibu mti pamoja na matunda yake, tumkatilie mbali kutoka nchi ya walio hai, kamwe jina lake lisikumbukwe tena.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilikuwa kama mwana-kondoo mpole aliyeongozwa machinjoni; mimi sikutambua kwamba walikuwa wamepanga njama dhidi yangu, wakisema, “Sisi na tuuangamize mti na matunda yake; nasi tumkatilie mbali kutoka nchi ya walio hai, ili jina lake lisikumbukwe tena.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mimi nalikuwa kama mwana-kondoo mpole, achukuliwaye kwenda kuchinjwa; wala sikujua ya kuwa wamefanya mashauri kinyume changu, wakisema, Na tuuharibu mti pamoja na matunda yake, na tumkatilie mbali atoke katika nchi ya walio hai, ili jina lake lisikumbukwe tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami nilikuwa kama kondoo mpole anayepelekwa machinjoni; sikujua kuwa njama walizofanya zilikuwa dhidi yangu. Walisema: “Na tuuharibu mti pamoja na matunda yake, tumkatilie mbali kutoka nchi ya walio hai, kamwe jina lake lisikumbukwe tena.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilikuwa kama mwana-kondoo mpole aliyeongozwa machinjoni, mimi sikutambua kwamba walikuwa wamefanya shauri baya dhidi yangu, wakisema, “Sisi na tuuangamize mti na matunda yake; nasi tumkatilie mbali kutoka nchi ya walio hai, ili kwamba jina lake lisikumbukwe tena.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilikuwa kama mwana-kondoo mpole aliyeongozwa machinjoni; mimi sikutambua kwamba walikuwa wamefanya shauri baya dhidi yangu, wakisema, “Sisi na tuuangamize mti na matunda yake; nasi tumkatilie mbali kutoka nchi ya walio hai, ili jina lake lisikumbukwe tena.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mimi nilikuwa kama mwana-kondoo mpole, achukuliwaye kwenda kuchinjwa; wala sikujua ya kuwa wamefanya mashauri kinyume changu, wakisema, Na tuuharibu mti pamoja na matunda yake, na tumkatilie mbali atoke katika nchi ya walio hai, ili jina lake lisikumbukwe tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami nilikuwa kama kondoo mpole anayepelekwa machinjoni; sikujua kuwa njama walizofanya zilikuwa dhidi yangu. Walisema: “Na tuuharibu mti pamoja na matunda yake, tumkatilie mbali kutoka nchi ya walio hai, kamwe jina lake lisikumbukwe tena.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi nikawa kama mwana kondoo mwanana anayepelekwa kuchinjwa, sikujua, ya kama walikuwa wameniwazia mimi mawazo ya kwamba: Na tuuangamize mti na matunda yake! Na tuung'oe katika nchi yao walio hai, jina lake lisikumbukwe tena!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mimi nalikuwa kama mwana-kondoo mpole, achukuliwaye kwenda kuchinjwa; wala sikujua ya kuwa wamefanya mashauri kinyume changu, wakisema, Na tuuharibu mti pamoja na matunda yake, na tumkatilie mbali atoke katika nchi ya walio hai, ili jina lake lisikumbukwe tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami nilikuwa kama kondoo mupole anayepelekwa kuchinjwa; sikujua kwamba shauri walilofanya lilikuwa juu yangu. Wao walisema: Tuuharibu muti pamoja na matunda yake, tumwue apate kusahaulika katika dunia, jina lake lisikumbukwe tena.