Jeremiah 11:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Sikiliza masharti ya agano hili, kisha nenda ukawatangazie watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sikia maneno ya agano hili, nawe uwaambie watu wa Yuda na wale wanaoishi Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yasikieni maneno ya maagano haya; ukaseme na watu wa Yuda, na wenyeji wa Yerusalemu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Sikiliza masharti ya agano hili, kisha nenda ukawatangazie watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sikia maneno ya Agano hili, nawe uwaambie watu wa Yuda na wale waishio katika Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sikia maneno ya agano hili, nawe uwaambie watu wa Yuda na wale waishio Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yasikieni maneno ya maagano haya; ukaseme na watu wa Yuda, na wenyeji wa Yerusalemu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Sikiliza masharti ya agano hili, kisha nenda ukawatangazie watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yasikieni maneno ya agano hili, myaambie watu wa Yuda nao wakaao Yerusalemu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yasikieni maneno ya maagano haya; ukaseme na watu wa Yuda, na wenyeji wa Yerusalemu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikiliza maneno ya agano hili, kisha uende kuyatangazia watu wa Yuda na wakaaji wa Yerusalema.