Jeremiah 11:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimepanga muda wa kuleta maangamizi juu ya watu wa Anathothi. Wakati huo utakapofika, hakuna hata mmoja wao atakayebaki hai.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hayatabakizwa mabaki kwao kwa sababu nitaleta maafa kwa watu wa Anathothi katika mwaka wa kuadhibiwa kwao.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala hapatakuwa na mtu atakayesalia kwao; maana nitaleta mabaya juu ya watu wa Anathothi, mwaka wa kujiliwa kwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimepanga muda wa kuleta maangamizi juu ya watu wa Anathothi. Wakati huo utakapofika, hakuna hata mmoja wao atakayebaki hai.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawatasaziwa hata mabaki kwao, kwa sababu nitaleta maafa kwa watu wa Anathothi katika mwaka wa adhabu yao.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawatasaziwa hata mabaki kwao, kwa sababu nitaleta maafa kwa watu wa Anathothi katika mwaka wa adhabu yao.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala hapatakuwa na mtu atakayesalia kwao; maana nitaleta mabaya juu ya watu wa Anathothi, mwaka wa kujiliwa kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimepanga muda wa kuleta maangamizi juu ya watu wa Anathothi. Wakati huo utakapofika, hakuna hata mmoja wao atakayebaki hai.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini masao hayatakuwako, kwani watu wa Anatoti nitawaletea mabaya mwaka ule, watakapopatilizwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala hapatakuwa na mtu atakayesalia kwao; maana nitaleta mabaya juu ya watu wa Anathothi, mwaka wa kujiliwa kwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimepanga muda wa kuleta maangamizi juu ya watu wa Anatoti. Wakati huo utakapofika, hakuna hata mumoja wao atakayebaki muzima.