Jeremiah 11:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utawaambia hivi: Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, asema hivi: Na alaaniwe mtu yeyote asiyejali masharti ya agano hili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waambie kwamba hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli: ‘Amelaaniwa mtu ambaye hatayatii maneno ya agano hili,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ukawaambie, Bwana, Mungu wa Israeli, asema hivi, Na alaaniwe mtu asiyeyasikia maneno ya maagano haya,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utawaambia hivi: Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, asema hivi: Na alaaniwe mtu yeyote asiyejali masharti ya agano hili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waambie kwamba hili ndilo asemalo BWANA, Mungu wa Israeli: ‘Amelaaniwa mtu yule ambaye hatayatii maneno ya Agano hili,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waambie kwamba hili ndilo asemalo bwana, Mungu wa Israeli: ‘Amelaaniwa mtu ambaye hatayatii maneno ya agano hili,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ukawaambie, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Na alaaniwe mtu asiyeyasikia maneno ya maagano haya,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utawaambia hivi: Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, asema hivi: Na alaaniwe mtu yeyote asiyejali masharti ya agano hili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utawaambia: Hivi ndivyo, Bwana Mungu wa Isiraeli anavyosema: Ameapizwa kila asiyeyasikia maneno ya agano hili,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ukawaambie, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Na alaaniwe mtu asiyeyasikia maneno ya maagano haya,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utawaambia hivi: Yawe, Mungu wa Israeli, anasema hivi: Alaaniwe mutu yeyote asiyeshika masharti ya agano hili.