Jeremiah 12:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wamelifanya kuwa tupu; katika ukiwa wake lanililia. Nchi yote imekuwa jangwa, wala hakuna mtu anayejali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Litafanywa kuwa jangwa, lililokauka na kuachwa ukiwa mbele zangu; nchi yote itafanywa jangwa kwa sababu hakuna hata mmoja anayejali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wamelifanya kuwa ukiwa, na kwa kuwa ni ukiwa linanililia; nchi yote imefanywa kuwa ukiwa, kwa sababu hapana mtu aliyeweka haya moyoni mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wamelifanya kuwa tupu; katika ukiwa wake lanililia. Nchi yote imekuwa jangwa, wala hakuna mtu anayejali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Litafanywa kuwa jangwa, lililokauka na kuachwa ukiwa mbele zangu; nchi yote itafanywa jangwa kwa sababu hakuna hata mmoja anayejali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Litafanywa kuwa jangwa, lililokauka na kuachwa ukiwa mbele zangu; nchi yote itafanywa jangwa kwa sababu hakuna hata mmoja anayejali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wamelifanya kuwa ukiwa, na kwa kuwa ni ukiwa linanililia; nchi yote imefanywa kuwa ukiwa, kwa sababu hapana mtu aliyeweka haya moyoni mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wamelifanya kuwa tupu; katika ukiwa wake lanililia. Nchi yote imekuwa jangwa, wala hakuna mtu anayejali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli wameligeuza kuwa peke yake tu; hivyo lilivyo peke yake linanililia, nchi hii nzima iko peke yake, kwa kuwa hakuwako mtu aliyeyaweka hayo moyoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wamelifanya kuwa ukiwa, na kwa kuwa ni ukiwa linanililia; nchi yote imefanywa kuwa ukiwa, kwa sababu hapana mtu aliyeweka haya moyoni mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wamelifanya kuwa tupu; nalo linalilia katika ukiwa wake. Inchi yote imekuwa jangwa, wala hakuna mutu anayejali.