Jeremiah 12:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipanda ngano, lakini walivuna magugu; walifanya bidii, lakini hawakupata kitu. Kwa sababu ya hasira yangu kali, mavuno watakayoyapata yatakuwa aibu tupu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watapanda ngano lakini watavuna miiba; watajitaabisha lakini hawatafaidi chochote. Kwa hiyo beba aibu ya mavuno yako kwa sababu ya hasira kali ya Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wamepanda ngano, lakini watavuna miiba; wamejiumiza nafsi zao, lakini hawatakuwa na faida; naam, tahayarini kwa ajili ya matunda yenu, kwa sababu ya hasira kali ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipanda ngano, lakini walivuna magugu; walifanya bidii, lakini hawakupata kitu. Kwa sababu ya hasira yangu kali, mavuno watakayoyapata yatakuwa aibu tupu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watapanda ngano lakini watavuna miiba; watajitaabisha lakini hawatafaidi cho chote. Kwa hiyo beba aibu ya mavuno yako kwa sababu ya hasira kali ya BWANA Mungu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watapanda ngano lakini watavuna miiba; watajitaabisha lakini hawatafaidi chochote. Kwa hiyo beba aibu ya mavuno yako kwa sababu ya hasira kali ya bwana Mwenyezi Mungu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wamepanda ngano, lakini watavuna miiba; wamejiumiza nafsi zao, lakini hawatakuwa na faida; naam, tahayarini kwa ajili ya matunda yenu, kwa sababu ya hasira kali ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipanda ngano, lakini walivuna magugu; walifanya bidii, lakini hawakupata kitu. Kwa sababu ya hasira yangu kali, mavuno watakayoyapata yatakuwa aibu tupu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipopanda ngano huvuna miiba; hujisumbua, lakini hawapati kitu. Ndivyo, mtakavyopatwa na soni kwa ajili ya mavuno yenu, moto wa makali yake Bwana utakapowaka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wamepanda ngano, lakini watavuna miiba; wamejiumiza nafsi zao, lakini hawatakuwa na faida; naam, tahayarini kwa ajili ya matunda yenu, kwa sababu ya hasira kali ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipanda ngano, lakini walivuna magugu; wamejichokesha kwa bure. Kwa sababu ya hasira kali ya Yawe, watasikia haya juu ya mavuno yao.