Jeremiah 12:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini baada ya kuwangoa, nitawahurumia tena; nitalirudisha kila taifa katika sehemu yake na katika nchi yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini baada ya kuwang’oa, nitawahurumia tena na kumrudisha kila mmoja wao kwenye urithi wake mwenyewe na kwenye nchi yake mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena itakuwa, baada ya kuwang'oa, nitarudi na kuwahurumia; nami nitawaleta tena, kila mtu aingie katika urithi wake, na kila mtu aingie katika nchi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini baada ya kuwang'oa, nitawahurumia tena; nitalirudisha kila taifa katika sehemu yake na katika nchi yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini baada ya kuwang'oa, nitawahurumia tena na kumrudisha kila mmoja wao kwenye urithi wake mwenyewe na kwenye nchi yake mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini baada ya kuwang’oa, nitawahurumia tena na kumrudisha kila mmoja wao kwenye urithi wake mwenyewe na kwenye nchi yake mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena itakuwa, baada ya kuwang'oa, nitarudi na kuwahurumia; nami nitawaleta tena, kila mtu aingie katika urithi wake, na kila mtu aingie katika nchi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini baada ya kuwangoa, nitawahurumia tena; nitalirudisha kila taifa katika sehemu yake na katika nchi yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakuwa, nitakapokwisha kuwang'oa nitawahurumia tena, niwarudishe kila mmoja penye fungu lake, kila mmoja katika nchi yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena itakuwa, baada ya kuwang’oa, nitarudi na kuwahurumia; nami nitawaleta tena, kila mtu aingie katika urithi wake, na kila mtu aingie katika nchi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kisha kuwaongoa, nitawahurumia tena; nitalirudisha kila taifa katika sehemu yake na katika inchi yake.