Jeremiah 12:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini taifa lolote ambalo halitanitii, nitalingoa kabisa na kuliangamiza. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kama taifa lolote halitasikiliza na kutii, nitaling’oa kabisa na kuliangamiza,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali, kama hawataki kusikia, kung'oa nitaling'oa taifa lile, na kuliangamiza kabisa, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini taifa lolote ambalo halitanitii, nitaling'oa kabisa na kuliangamiza. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama taifa lo lote halitasikiliza na kutii, nitaling'oa kabisa na kuliangamiza,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama taifa lolote halitasikiliza na kutii, nitaling’oa kabisa na kuliangamiza,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali, kama hawataki kusikia, kung'oa nitaling'oa taifa lile, na kuliangamiza kabisa, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini taifa lolote ambalo halitanitii, nitalingoa kabisa na kuliangamiza. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kama hawasikii, nitaling'oa taifa hilo kabisa, liangamie; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali, kama hawataki kusikia, kung’oa nitaling’oa taifa lile, na kuliangamiza kabisa, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini taifa lolote ambalo halitanitii, nitaliongoa kabisa na kuliangamiza. –Ni ujumbe wa Yawe.