Jeremiah 12:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unawaotesha nao wanaota; wanakua na kuzaa matunda. Wanakutaja kwa maneno yao, lakini mioyo yao iko mbali nawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umewapanda, nao wameota, wanakua na kuzaa matunda. Daima u midomoni mwao, lakini mbali na mioyo yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umewapanda, naam, wametia mizizi, wanakua, naam, wanazaa matunda; katika vinywa vyao u karibu, bali katika mioyo yao u mbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unawaotesha nao wanaota; wanakua na kuzaa matunda. Wanakutaja kwa maneno yao, lakini mioyo yao iko mbali nawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umewapanda nao wameota, wanakua na kuzaa matunda. Daima u midomoni mwao lakini mbali na mioyo yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umewapanda, nao wameota, wanakua na kuzaa matunda. Daima u midomoni mwao, lakini mbali na mioyo yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umewapanda, naam, wametia mizizi, wanakua, naam, wanazaa matunda; katika vinywa vyao u karibu, bali katika mioyo yao u mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unawaotesha nao wanaota; wanakua na kuzaa matunda. Wanakutaja kwa maneno yao, lakini mioyo yao iko mbali nawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uliwapanda, wakatia mizizi; huendelea kukua, mpaka wakizaa matunda. Wewe u karibu vinywani mwao, lakini u mbali mioyoni mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umewapanda, naam, wametia mizizi, wanakua, naam, wanazaa matunda; katika vinywa vyao u karibu, bali katika mioyo yao u mbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umewapanda nao wameota mizizi, wanastawi na kuzaa matunda. Wanakujua kwa midomo tu, lakini mioyo yao iko mbali nawe.