Jeremiah 12:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpaka lini nchi itaomboleza kwa ukame, na nyasi za mashamba yote kunyauka? Wanyama na ndege wanakufa kwa uovu wa wakazi wake; wanasema: “Mungu hataona mwisho wetu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, nchi itakaa katika hali ya kuomboleza hadi lini, na majani katika kila shamba kunyauka? Kwa sababu wale wanaoishi ndani yake ni waovu, wanyama na ndege wameangamia. Zaidi ya hayo, watu wanasema, “Mwenyezi Mungu hataona yatakayotupata sisi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata lini itaomboleza nchi, na kukauka majani ya nchi yote? Kwa ajili ya mabaya yao wakaao ndani yake, wanyama wameangamia na ndege pia; kwa sababu walisema, Hatauona mwisho wetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpaka lini nchi itaomboleza kwa ukame, na nyasi za mashamba yote kunyauka? Wanyama na ndege wanakufa kwa uovu wa wakazi wake; wanasema: “Mungu hataona mwisho wetu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, nchi itakaa katika hali ya kuomboleza mpaka lini na majani katika kila shamba kunyauka? Kwa sababu wale waishio ndani yake ni waovu, wanyama na ndege wameangamia. Zaidi ya hayo, watu wanasema, “BWANA hataona yatakayotupata sisi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, nchi itakaa katika hali ya kuomboleza mpaka lini, na majani katika kila shamba kunyauka? Kwa sababu wale waishio ndani yake ni waovu, wanyama na ndege wameangamia. Zaidi ya hayo, watu wanasema, “ bwana hataona yatakayotupata sisi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata lini itaomboleza nchi, na kukauka majani ya nchi yote? Kwa ajili ya mabaya yao wakaao ndani yake, wanyama wameangamia na ndege pia; kwa sababu walisema, Yu kipofu katika njia zetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpaka lini nchi itaomboleza kwa ukame, na nyasi za mashamba yote kunyauka? Wanyama na ndege wanakufa kwa uovu wa wakazi wake; wanasema: “Mungu hataona mwisho wetu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi na iomboleze mpaka lini, majani ya mashamba yote yakinyauka? Kwa ajili ya ubaya wao waikaao hata nyama na ndege wametoweka, nao husema: Hatauona mwisho wetu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata lini itaomboleza nchi, na kukauka majani ya nchi yote? Kwa ajili ya mabaya yao wakaao ndani yake, wanyama wameangamia na ndege pia; kwa sababu walisema, Hatauona mwisho wetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mpaka wakati gani inchi itaomboleza kwa kukauka, na nyasi za mashamba yote kunyauka? Nyama na ndege wanakufa kwa uovu wa wakaaji wake. Wao wanasema: Mungu hataona mwisho wetu.