Jeremiah 12:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata ndugu zako, jamaa yako mwenyewe, nao pia wamekutendea mambo ya hila; wanakukemea waziwazi. Usiwaamini hata kidogo, japo wanakuambia maneno mazuri.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndugu zako na jamaa zako nao wamekusaliti, wameinua kilio kikubwa dhidi yako. Usiwaamini hata wakisema mema juu yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana hata ndugu zako, na nyumba ya baba yako, wamekutenda mambo ya hila; naam, wamepiga kelele nyuma yako; usiwasadiki, wajapokuambia maneno mazuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata ndugu zako, jamaa yako mwenyewe, nao pia wamekutendea mambo ya hila; wanakukemea waziwazi. Usiwaamini hata kidogo, japo wanakuambia maneno mazuri.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndugu zako, watu wa jamaa yako mwenyewe: hata wao wamekusaliti; wameinua kilio kikubwa dhidi yako. Usiwaamini, ingawa wanazungumza mema juu yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndugu zako, watu wa jamaa yako mwenyewe: hata wao wamekusaliti; wameinua kilio kikubwa dhidi yako. Usiwaamini, ingawa wanazungumza mema juu yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana hata ndugu zako, na nyumba ya baba yako, wamekutenda mambo ya hila; naam, wamepiga kelele nyuma yako; usiwasadiki, wajapokuambia maneno mazuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata ndugu zako, jamaa yako mwenyewe, nao pia wamekutendea mambo ya hila; wanakukemea waziwazi. Usiwaamini hata kidogo, japo wanakuambia maneno mazuri.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani nao ndugu zako nao mlango wa baba yako hukudanganya, kweli hawa nao hupaza sauti za kupiga kelele nyuma yako; usiwategemee! Kwani usoni pako husema mema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana hata ndugu zako, na nyumba ya baba yako, wamekutenda mambo ya hila; naam, wamepiga kelele nyuma yako; usiwasadiki, wajapokuambia maneno mazuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata wandugu zako, jamaa yako mwenyewe, nao vilevile wanakudaganya; wanakukaripia waziwazi. Usiwaamini hata kidogo, ingawa wanakuambia maneno mazuri.