Jeremiah 12:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Nimeiacha nyumba yangu; nimeitupa mali yangu mimi mwenyewe. Israeli, mpenzi wangu wa moyo, nimemtia mikononi mwa maadui zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nitaiacha nyumba yangu, nitupe urithi wangu; nitamtia yeye nimpendaye mikononi mwa adui zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimeiacha nyumba yangu, nimeutupa urithi wangu; nimemtia mpenzi wangu katika mikono ya adui zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Nimeiacha nyumba yangu; nimeitupa mali yangu mimi mwenyewe. Israeli, mpenzi wangu wa moyo, nimemtia mikononi mwa maadui zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nitaiacha nyumba yangu, nitupe urithi wangu; nitamtia yeye nimpendaye mikononi mwa adui zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nitaiacha nyumba yangu, nitupe urithi wangu; nitamtia yeye nimpendaye mikononi mwa adui zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimeiacha nyumba yangu, nimeutupa urithi wangu; nimemtia mpenzi wangu katika mikono ya adui zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Nimeiacha nyumba yangu; nimeitupa mali yangu mimi mwenyewe. Israeli, mpenzi wangu wa moyo, nimemtia mikononi mwa maadui zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimeiacha Nyumba yangu, nikalitupa fungu langu, nikayatoa, roho yangu iliyopendezwa nayo, nikayatia mikononi mwa adui zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimeiacha nyumba yangu, nimeutupa urithi wangu; nimemtia mpenzi wangu katika mikono ya adui zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anasema hivi: Nimeiacha nyumba yangu; nimeitupa mali yangu mimi mwenyewe. Israeli, mupenzi wangu wa moyo, nimemutoa katika mikono ya waadui zake.