Jeremiah 12:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wateule wangu wamenigeuka, wamekuwa kama simba porini, wameningurumia mimi; ndiyo maana nawachukia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Urithi wangu umekuwa kwangu kama simba wa msituni. Nauchukia kwa kuwa unaningurumia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Urithi wangu umekuwa kwangu kama simba msituni; ameinua sauti yake juu yangu; kwa sababu hiyo nimemchukia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wateule wangu wamenigeuka, wamekuwa kama simba porini, wameningurumia mimi; ndiyo maana nawachukia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Urithi wangu umekuwa kwangu kama simba wa msituni. Huningurumia mimi, kwa hiyo ninamchukia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Urithi wangu umekuwa kwangu kama simba wa msituni. Huningurumia mimi, kwa hiyo ninamchukia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Urithi wangu umekuwa kwangu kama simba msituni; ameinua sauti yake juu yangu; kwa sababu hiyo nimemchukia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wateule wangu wamenigeuka, wamekuwa kama simba porini, wameningurumia mimi; ndiyo maana nawachukia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Fungu langu likaniwia kama simba wa mwituni: Ameningurumia, kwa hiyo nimechukiwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Urithi wangu umekuwa kwangu kama simba msituni; ameinua sauti yake juu yangu; kwa sababu hiyo nimemchukia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wachaguliwa wangu wamenigeuka, wamekuwa kama simba katika pori, wameningurumia mimi; ndiyo maana ninawachukia.