Jeremiah 13:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu aliniambia hivi: “Nenda ukajinunulie kikoi cha kitani, ukajifunge kiunoni; lakini usikitie majini.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ndilo Mwenyezi Mungu aliloniambia: “Nenda ununue mkanda wa kitani, ujivike kiunoni mwako, lakini usiuache uguse maji.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akaniambia hivi, Enenda, ukajinunulie mshipi wa kitani, ukajivike viuno, wala usiutie majini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu aliniambia hivi: “Nenda ukajinunulie kikoi cha kitani, ukajifunge kiunoni; lakini usikitie majini.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ndilo BWANA aliloniambia: “Nenda ukanunue mkanda wa kitani ujivike kiunoni mwako, lakini usiuache uguse maji.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ndilo bwana aliloniambia: “Nenda ununue mkanda wa kitani, ujivike kiunoni mwako, lakini usiuache uguse maji.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akaniambia hivi, Nenda ukajinunulie kitambaa cha kitani, ukajifunge kiunoni, wala usikitie majini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu aliniambia hivi: “Nenda ukajinunulie kikoi cha kitani, ukajifunge kiunoni; lakini usikitie majini.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi ndivyo, Bwana alivyoniambia: Nenda kujinunulia mshipi wa amerekani, ujifunge viunoni! Lakini usiutie majini!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akaniambia hivi, Enenda, ukajinunulie mshipi wa kitani, ukajivike viuno, wala usiutie majini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe aliniambia hivi: Kwenda ununue mukaba na kuuvaa katika kiuno; lakini usiutie ndani ya maji.