Jeremiah 13:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawagonganisha wao kwa wao kina baba na watoto. Sitawahurumia, sitawaachia wala sitawarehemu, bali nitawaangamiza.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawagombanisha kila mmoja na mwenzake, baba na wana wao, asema Mwenyezi Mungu. Sitawarehemu wala kuwahurumia ili niache kuwaangamiza.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitawagonganisha, mtu na mwenzake, naam, baba za watu na watoto wao pamoja, asema Bwana; sitahurumia, wala sitaachilia, wala sitarehemu, hata nisiwaangamize.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawagonganisha wao kwa wao kina baba na watoto. Sitawahurumia, sitawaachia wala sitawarehemu, bali nitawaangamiza.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawagonganisha kila mmoja na mwenzake, baba na wana wao, asema BWANA. Sitawarehemu wala kuwahurumia ili niache kuwaangamiza.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawagonganisha kila mmoja na mwenzake, baba na wana wao, asema bwana. Sitawarehemu wala kuwahurumia ili niache kuwaangamiza.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitawagonganisha, mtu na mwenzake, naam, baba za watu na watoto wao pamoja, asema BWANA; sitahurumia, wala sitaachilia, wala sitarehemu, hata nisiwaangamize.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawagonganisha wao kwa wao kina baba na watoto. Sitawahurumia, sitawaachia wala sitawarehemu, bali nitawaangamiza.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nitawaponda kila mtu kwa ndugu yake, hata wababa na wana pamoja, sitawaonea uchungu, wala sitawachagulia, wala sitawahurumia, nisiwaangamize; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitawagonganisha, mtu na mwenzake, naam, baba za watu na watoto wao pamoja, asema BWANA; sitahurumia, wala sitaachilia, wala sitarehemu, hata nisiwaangamize.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawagonganisha wao kwa wao hata baba na watoto. –Ni ujumbe wa Yawe.– Sitawahurumia, sitawaachilia wala sitawarehemu, mpaka nitakapowaangamiza.