Jeremiah 13:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miji ya Negebu imezingirwa; hakuna awezaye kufungua malango yake. Watu wa Yuda wamechukuliwa mateka, wote kabisa wamepelekwa utumwani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miji ya Negebu itafungwa, wala hapatakuwa na mtu wa kuifungua. Watu wa Yuda wote watapelekwa uhamishoni, wakichukuliwa kabisa waende mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miji ya Negebu imefungwa malango yake, wala hapana mtu wa kuyafungua; Yuda amechukuliwa hali ya kufungwa; amechukuliwa kabisa hali ya kufungwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miji ya Negebu imezingirwa; hakuna awezaye kufungua malango yake. Watu wa Yuda wamechukuliwa mateka, wote kabisa wamepelekwa utumwani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miji iliyoko Negebu itafungwa, wala hapatakuwa na mtu wa kuifungua. Watu wa Yuda wote watapelekwa uhamishoni, wakichukuliwa kabisa waende mbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miji iliyoko Negebu itafungwa, wala hapatakuwa na mtu wa kuifungua. Watu wa Yuda wote watapelekwa uhamishoni, wakichukuliwa kabisa waende mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miji ya Negebu imefungwa malango yake, wala hapana mtu wa kuyafungua; Yuda amechukuliwa mateka; amechukuliwa kabisa mateka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miji ya Negebu imezingirwa; hakuna awezaye kufungua malango yake. Watu wa Yuda wamechukuliwa mateka, wote kabisa wamepelekwa utumwani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miji ya upande wa kusini imefungwa, tena hakuna anayeifungua, Wayuda wote wametekwa, kweli wote pia wametekwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miji ya Negebu imefungwa malango yake, wala hapana mtu wa kuyafungua; Yuda amechukuliwa hali ya kufungwa; amechukuliwa kabisa hali ya kufungwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miji ya Negebu imezungukwa kwa vita; hakuna anayeweza kuingia ndani yao. Watu wa Yuda wamekamatwa mateka, wote kabisa wamepelekwa katika utumwa.