Jeremiah 13:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nikaenda, nikanunua kikoi kama alivyoniagiza Mwenyezi-Mungu, nikajifunga kiunoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo nikanunua mkanda, kama Mwenyezi Mungu alivyoniagiza, nikajivika kiunoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi nikanunua mshipi sawasawa na neno la Bwana, nikajivika viunoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nikaenda, nikanunua kikoi kama alivyoniagiza Mwenyezi-Mungu, nikajifunga kiunoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo nikanunua mkanda, kama BWANA alivyoniagiza, nikajivika kiunoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo nikanunua mkanda, kama bwana alivyoniagiza, nikajivika kiunoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi nikanunua kitambaa cha kitani sawasawa na neno la BWANA, nikajivika viunoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nikaenda, nikanunua kikoi kama alivyoniagiza Mwenyezi-Mungu, nikajifunga kiunoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikaununua mshipi, kama Bwana alivyoniagiza, nikajifunga viunoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi nikanunua mshipi sawasawa na neno la BWANA, nikajivika viunoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, nikaenda, nikanunua mukaba kama vile Yawe alivyoniagiza, nami nikauvaa katika kiuno.