Jeremiah 13:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Inua macho yako, ee Yerusalemu! Tazama! Madui zako waja kutoka kaskazini. Kundi ulilokabidhiwa liko wapi? Kundi lako zuri li wapi?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Inua macho yako uone wale wanaokuja kutoka kaskazini. Liko wapi lile kundi ulilokabidhiwa, wale kondoo uliojivunia?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Inua macho yako, Ee Yerusalemu, ukawatazame hawa wanaokuja kutoka kaskazini; liko wapi kundi lako ulilopewa, kundi lile zuri?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Inua macho yako, ee Yerusalemu! Tazama! Madui zako waja kutoka kaskazini. Kundi ulilokabidhiwa liko wapi? Kundi lako zuri li wapi?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Inua macho yako na uone wale wanaokuja kutoka kaskazini. Liko wapi lile kundi ulilokabidhiwa, kondoo wale uliojivunia?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Inua macho yako uone wale wanaokuja kutoka kaskazini. Liko wapi lile kundi ulilokabidhiwa, kondoo wale uliojivunia?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Inua macho yako, Ee Yerusalemu, ukawatazame hawa wanaokuja kutoka kaskazini; liko wapi kundi lako ulilopewa, kundi lile zuri?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Inua macho yako, ee Yerusalemu! Tazama! Madui zako waja kutoka kaskazini. Kundi ulilokabidhiwa liko wapi? Kundi lako zuri li wapi?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yainueni macho yenu, mwaone wanaokuja toka kaskazini! Kundi ulilopewa liko wapi, wale kondoo wako wenye utukufu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Inua macho yako, Ee Yerusalemu, ukawatazame hawa wanaokuja kutoka kaskazini; liko wapi kundi lako ulilopewa, kundi lile zuri?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inua macho yako, ee Yerusalema! Angalia! Waadui zako wanakuja kutoka kaskazini. Kundi ulilopewa liko wapi? Kundi lako zuri liko wapi?