Jeremiah 13:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utasemaje juu ya wale uliodhani ni rafiki, wale ambao wewe mwenyewe uliwafundisha, watakapokushinda na kukutawala? Je, si utakumbwa na uchungu kama wa mama anayejifungua?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utasema nini Mwenyezi Mungu atakapowaweka juu yako wale ulioungana nao kama rafiki zako maalum? Je, hutapatwa na uchungu kama mwanamke aliye katika uchungu wa kuzaa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utasema nini wewe, atakapowaweka rafiki zako kuwa kichwa juu yako, ikiwa wewe mwenyewe umewafundisha kuwa juu yako? Je! Huzuni haitakushika, kama utungu wa mwanamke aliye katika kuzaa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utasemaje juu ya wale uliodhani ni rafiki, wale ambao wewe mwenyewe uliwafundisha, watakapokushinda na kukutawala? Je, si utakumbwa na uchungu kama wa mama anayejifungua?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utasema nini BWANA atakapowaweka juu yako wale ulioungana nao kama marafiki wako maalum? Je, hutapatwa na utungu kama ule wa mwanamke aliye katika kuzaa?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utasema nini bwana atakapowaweka juu yako wale ulioungana nao kama marafiki wako maalum? Je, hutapatwa na utungu kama mwanamke aliye katika utungu wa kuzaa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utasema nini wewe, atakapowaweka rafiki zako kuwa kichwa juu yako, ikiwa wewe mwenyewe umewafundisha kuwa juu yako? Je! Huzuni haitakushika, kama uchungu wa mwanamke aliye katika kuzaa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utasemaje juu ya wale uliodhani ni rafiki, wale ambao wewe mwenyewe uliwafundisha, watakapokushinda na kukutawala? Je, si utakumbwa na uchungu kama wa mama anayejifungua?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utasemaje, akikuwekea wale kuwa wakuu wako, uliowazoeza kuwa rafiki zako wapendwa? Wao watakapokuwa wakuu, hautakushika uchungu kama wa mwanamke anayetaka kuzaa?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utasema nini wewe, atakapowaweka rafiki zako kuwa kichwa juu yako, ikiwa wewe mwenyewe umewafundisha kuwa juu yako? Je! Huzuni haitakushika, kama utungu wa mwanamke aliye katika kuzaa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utasema nini juu ya wale uliowazoeza kuwa warafiki zako, wale ambao wewe mwenyewe uliwafundisha, watakapokushinda na kukutawala? Si utashikwa na uchungu sawa vile mwanamuke anayezaa?