Jeremiah 13:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu atawatawanya kama makapi yanayopeperushwa na upepo kutoka jangwani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nitawatawanya kama makapi yapeperushwayo na upepo wa jangwani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu hiyo nitawatawanya, kama makapi yapitayo, kwa upepo wa jangwani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu atawatawanya kama makapi yanayopeperushwa na upepo kutoka jangwani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nitawatawanya kama makapi yapeperushwayo na upepo wa jangwani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nitawatawanya kama makapi yapeperushwayo na upepo wa jangwani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu hiyo nitawatawanya, kama makapi yapitayo, kwa upepo wa jangwani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu atawatawanya kama makapi yanayopeperushwa na upepo kutoka jangwani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo nitawatawanya kama makapi yapeperushwayo na upepo wa nyikani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu hiyo nitawatawanya, kama makapi yapitayo, kwa upepo wa jangwani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe atawasambaza kama maganda yanayopeperushwa na upepo unaovuma kutoka katika jangwa.