Jeremiah 13:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu asema: “Hayo ndiyo yatakayokupata, ndivyo nilivyoamua kukutenda mimi Mwenyezi-Mungu, kwa sababu umenisahau mimi, ukaamini miungu ya uongo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii ndiyo kura yako, fungu nililokuamulia,” asema Mwenyezi Mungu, “kwa sababu umenisahau mimi na kuamini miungu ya uongo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hiyo ndiyo kura yako, fungu lako ulilopimiwa na mimi, asema Bwana; kwa kuwa umenisahau, na kuutumainia uongo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asema: “Hayo ndiyo yatakayokupata, ndivyo nilivyoamua kukutenda mimi Mwenyezi-Mungu, kwa sababu umenisahau mimi, ukaamini miungu ya uongo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ndiyo kura yako, fungu nililokuamuria,” asema BWANA, “kwa sababu umenisahau mimi na kuamini miungu ya uongo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ndiyo kura yako, fungu nililokuamuria,” asema bwana, “kwa sababu umenisahau mimi na kuamini miungu ya uongo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hiyo ndiyo kura yako, fungu lako ulilopimiwa na mimi, asema BWANA; kwa kuwa umenisahau, na kuutumainia uongo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asema: “Hayo ndiyo yatakayokupata, ndivyo nilivyoamua kukutenda mimi Mwenyezi-Mungu, kwa sababu umenisahau mimi, ukaamini miungu ya uongo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya ndiyo, uliyopatiwa na kura, ni fungu lako, ulilopimiwa na mimi, kwa kuwa umenisahau, ukaegemea mambo ya uwongo; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hiyo ndiyo kura yako, fungu lako ulilopimiwa na mimi, asema BWANA; kwa kuwa umenisahau, na kuutumainia uongo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anasema: Hayo ndiyo yatakayokupata, ni hivi nilivyoamua kukutendea, kwa sababu umenisahau mimi na kutegemea miungu ya uongo. –Ni ujumbe wa Yawe.–