Jeremiah 13:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitalipandisha vazi lako hadi kichwani na aibu yako yote itaonekana wazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitayafunua marinda yako juu ya uso wako ili aibu yako ionekane,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa ajili ya hayo, mimi nami nitayafunua marinda yako mbele ya uso wako, na aibu yako itaonekana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitalipandisha vazi lako hadi kichwani na aibu yako yote itaonekana wazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitayafunua marinda yako mpaka juu ya uso wako ili aibu yako ionekane:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitayafunua marinda yako mpaka juu ya uso wako ili aibu yako ionekane:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa ajili ya hayo, mimi nami nitayafunua marinda yako mbele ya uso wako, na aibu yako itaonekana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitalipandisha vazi lako hadi kichwani na aibu yako yote itaonekana wazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo mimi nami nitazipandisha nguo zako zenye mapindo marefu na kuziweka usoni pako, yako yenye soni yaoneke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa ajili ya hayo, mimi nami nitayafunua marinda yako mbele ya uso wako, na aibu yako itaonekana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitapandisha kanzu yako mpaka kwenye kichwa hata uchi wako upate kuonekana wazi.