Jeremiah 13:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimeyaona machukizo yako: Naam, uzinifu wako na uzembe wako, na uasherati wako wa kupindukia, juu ya milima na mashambani. Ole wako ee Yerusalemu! Mpaka lini utakaa bila kutakaswa?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
yaani uzinzi wako na kulia kwako kulikojaa tamaa kama farasi, na ukahaba wako usio na aibu! Nimeyaona matendo yako ya machukizo juu ya vilima na mashambani. Ole wako, ee Yerusalemu! Utaendelea kuwa najisi hadi lini?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimeona machukizo yako, naam, uzinifu wako, na ubembe wako, na uasherati wa ukahaba wako, juu ya milima katika mashamba. Ole wako, Ee Yerusalemu! Hutaki kutakaswa; mambo hayo yataendelea hata lini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimeyaona machukizo yako: naam, uzinifu wako na uzembe wako, na uasherati wako wa kupindukia, juu ya milima na mashambani. Ole wako ee Yerusalemu! Mpaka lini utakaa bila kutakaswa?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
uzinzi wako na kulia kwako kama farasi kulikojaa tamaa, ukahaba wako usio na aibu! Nimeyaona matendo yako ya machukizo juu ya vilima na mashambani. Ole wako, Ee Yerusalemu! Utaendelea kuwa najisi mpaka lini?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
uzinzi wako na kulia kwako kama farasi kulikojaa tamaa, ukahaba wako usio na aibu! Nimeyaona matendo yako ya machukizo juu ya vilima na mashambani. Ole wako, ee Yerusalemu! Utaendelea kuwa najisi mpaka lini?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimeona machukizo yako, naam, uzinifu wako, na ubembe wako, na uasherati wa ukahaba wako, juu ya milima katika mashamba. Ole wako, Ee Yerusalemu! Hutaki kutakaswa; mambo hayo yataendelea hata lini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimeyaona machukizo yako: Naam, uzinifu wako na uzembe wako, na uasherati wako wa kupindukia, juu ya milima na mashambani. Ole wako ee Yerusalemu! Mpaka lini utakaa bila kutakaswa?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uzinzi wako na vilio vyako vya utongozi na uovu wako wa kuziwaza njia za ugoni za kwenda vilimani au mashambani, nimeyaona hayo matapisho yako. Yatakupata, wewe Yerusalemu, usieuliwe! Yatakuwa hivyo mpaka lini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimeona machukizo yako, naam, uzinifu wako, na ubembe wako, na uasherati wa ukahaba wako, juu ya milima katika mashamba. Ole wako, Ee Yerusalemu! Hutaki kutakaswa; mambo hayo yataendelea hata lini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimeyaona machukizo yako: nimeona uzinzi wako na utongozaji wako, na uasherati wako usiousikilia haya, unaoufanya juu ya milima na katika mashamba. Ole kwako wewe Yerusalema! Mpaka wakati gani utabaki bila kutakaswa?