Jeremiah 13:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, neno la Mwenyezi-Mungu likanijia mara ya pili:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo neno la Mwenyezi Mungu likanijia kwa mara ya pili:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalo neno la Bwana likanijia mara ya pili, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, neno la Mwenyezi-Mungu likanijia mara ya pili:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo neno la BWANA likanijia kwa mara ya pili:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo neno la bwana likanijia kwa mara ya pili:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nalo neno la BWANA likanijia mara ya pili, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, neno la Mwenyezi-Mungu likanijia mara ya pili:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno la Bwana likanijia mara ya pili kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalo neno la BWANA likanijia mara ya pili, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, neno la Yawe lilinifikia kwa mara ya pili kusema hivi: