Jeremiah 13:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kichukue kikoi ulichonunua na ambacho umejifunga kiunoni, uende kwenye mto Eufrate na kukificha katika pango mwambani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Chukua mkanda ulionunua ambao umeuvaa kiunoni mwako, uende sasa Frati uufiche ndani ya ufa mdogo kwenye mwamba.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Twaa mshipi ule ulioununua, ulio viunoni mwako, kisha ondoka, enenda mpaka mto Frati, ukaufiche huko katika pango la jabali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kichukue kikoi ulichonunua na ambacho umejifunga kiunoni, uende kwenye mto Eufrate na kukificha katika pango mwambani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Chukua mkanda ulionunua ambao umeuvaa kiunoni mwako, uende sasa Eufrati na ukaufiche ndani ya ufa mdogo kwenye mwamba.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Chukua mkanda ulionunua ambao umeuvaa kiunoni mwako, uende sasa Frati uufiche ndani ya ufa mdogo kwenye mwamba.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Twaa kitambaa kile ulichonunua, kilicho kiunoni mwako, kisha ondoka, nenda mpaka mto Frati, ukaufiche huko katika pango la jabali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kichukue kikoi ulichonunua na ambacho umejifunga kiunoni, uende kwenye mto Eufrate na kukificha katika pango mwambani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uchukue mshipi, ulioununua, ulio viunoni pako! Kisha inuka, uende kwenye Furati, uufiche kule katika ufa wa mwamba!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Twaa mshipi ule ulioununua, ulio viunoni mwako, kisha ondoka, enenda mpaka mto Frati, ukaufiche huko katika pango la jabali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Twaa ule mukaba ulioununua na ambao unaouvaa katika kiuno, uende kwenye muto Furati na kuuficha katika pango chini ya jiwe.