Jeremiah 13:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nikaenda na kukificha kikoi hicho karibu na mto Eufrate, kama Mwenyezi-Mungu alivyoniamuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo nikaenda na kuuficha ule mkanda huko Frati, kama Mwenyezi Mungu alivyoniamuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi nikaenda, nikauficha karibu na mto Frati, kama Bwana alivyoniamuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nikaenda na kukificha kikoi hicho karibu na mto Eufrate, kama Mwenyezi-Mungu alivyoniamuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo nikaenda na kuuficha ule mkanda huko Eufrati, kama BWANA alivyoniamuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo nikaenda na kuuficha ule mkanda huko Frati, kama bwana alivyoniamuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi nikaenda, nikakificha karibu na mto Frati, kama BWANA alivyoniamuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nikaenda na kukificha kikoi hicho karibu na mto Eufrate, kama Mwenyezi-Mungu alivyoniamuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikaenda, nikauficha kule Furati, kama Bwana alivyoniagiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi nikaenda, nikauficha karibu na mto Frati, kama BWANA alivyoniamuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, nikaenda na kuficha ule mukaba karibu na muto Furati, kama vile Yawe alivyoniamuru.