Jeremiah 14:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu aliniambia hivi: “Usiwaombee watu hawa fanaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Mwenyezi Mungu akaniambia, “Usiombe kwa ajili ya mafanikio ya watu hawa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Bwana akaniambia, Usiwaombee watu hawa wapate heri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu aliniambia hivi: “Usiwaombee watu hawa fanaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha BWANA akaniambia, “Usiombe kwa ajili ya mafanikio ya watu hawa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha bwana akaniambia, “Usiombe kwa ajili ya mafanikio ya watu hawa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye BWANA akaniambia, Usiwaombee watu hawa wapate heri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu aliniambia hivi: “Usiwaombee watu hawa fanaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Bwana akaniambia: Usiwaombee wao wa ukoo huu, niwafanyizie mema!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye BWANA akaniambia, Usiwaombee watu hawa wapate heri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akaniambia hivi: Usiwaombee watu hawa uheri.