Jeremiah 15:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami nikasema: “Lakini wewe Mwenyezi-Mungu wajua; unikumbuke na kuja kunisaidia. Nilipizie kisasi watesi wangu. Wewe u mvumilivu, usiniache niangamie; kumbuka kuwa ninatukanwa kwa ajili yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe unafahamu, Ee Mwenyezi Mungu, unikumbuke na unitunze mimi. Lipiza kisasi juu ya watesi wangu. Kwa uvumilivu wako usiniondolee mbali; kumbuka jinsi ninavyoshutumiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, unajua wewe; unikumbuke, unijilie, ukanilipie kisasi juu yao wanaoniudhi; usiniondoe kwa uvumilivu wako; ujue ya kuwa ni kwa ajili yako nilivyopatikana na mashutumu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami nikasema: “Lakini wewe Mwenyezi-Mungu wajua; unikumbuke na kuja kunisaidia. Nilipizie kisasi watesi wangu. Wewe u mvumilivu, usiniache niangamie; kumbuka kuwa ninatukanwa kwa ajili yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe unajua, Ee BWANA, unikumbuke na unitunze mimi. Lipiza kisasi juu ya watesi wangu. Kwa uvumilivu wako usiniondolee mbali; kumbuka jinsi ninavyoshutumiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe unafahamu, Ee bwana, unikumbuke na unitunze mimi. Lipiza kisasi juu ya watesi wangu. Kwa uvumilivu wako usiniondolee mbali; kumbuka jinsi ninavyoshutumiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, unajua wewe; unikumbuke, unijie, ukanilipizie kisasi juu yao wanaoniudhi; usiniondoe kwa uvumilivu wako; ujue ya kuwa ni kwa ajili yako nilivyopatikana na matukano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami nikasema: “Lakini wewe Mwenyezi-Mungu wajua; unikumbuke na kuja kunisaidia. Nilipizie kisasi watesi wangu. Wewe u mvumilivu, usiniache niangamie; kumbuka kuwa ninatukanwa kwa ajili yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, wewe unanijua, nikumbuke! Unipatilizie na kunilipizia wanaonikimbiza! Usiwavumilie! Nipokee mimi! Ujue, ya kuwa ninatukanwa kwa ajili yako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, unajua wewe; unikumbuke, unijilie, ukanilipie kisasi juu yao wanaoniudhi; usiniondoe kwa uvumilivu wako; ujue ya kuwa ni kwa ajili yako nilivyopatikana na mashutumu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami nikasema: Lakini wewe Yawe unanielewa vizuri; unikumbuke na kuja kunisaidia. Unilipizie watesaji wangu kisasi. Wewe ni muvumilivu, usiniache niangamie; kumbuka kwamba ninatukaniwa kwa ajili yako.