Jeremiah 15:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakuokoa mikononi mwa watu waovu, na kukukomboa makuchani mwa wakatili.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nitakuokoa kutoka mikono ya waovu, na kukukomboa kutoka makucha ya watu wakatili.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitakuokoa na mkono wa watu wabaya, nami nitakukomboa katika mkono wao wenye kutisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakuokoa mikononi mwa watu waovu, na kukukomboa makuchani mwa wakatili.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nitakuokoa kutoka katika mikono ya waovu, na kukukomboa kutoka katika makucha ya watu wakatili.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nitakuokoa kutoka mikono ya waovu, na kukukomboa kutoka makucha ya watu wakatili.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitakuokoa na mkono wa watu wabaya, nami nitakukomboa kutoka katika mkono wao wenye kutisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakuokoa mikononi mwa watu waovu, na kukukomboa makuchani mwa wakatili.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakuponya mikononi mwao wabaya, nitakukomboa mikononi mwao wakorofi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitakuokoa na mkono wa watu wabaya, nami nitakukomboa katika mkono wao wenye kutisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakuokoa toka katika mikono ya watu waovu, na kukuopoa toka katika makucha ya watesaji.