Jeremiah 15:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ni nani atakayewahurumia, enyi watu wa Yerusalemu? Ni nani atakayeomboleza juu yenu? Nani atasimama kuuliza habari zenu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ni nani atakayekuhurumia, ee Yerusalemu? Ni nani atakayeomboleza kwa ajili yako? Ni nani atakayesimama ili kuuliza kuhusu hali yako?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana ni nani atakayekuhurumia, Ee Yerusalemu? Au ni nani atakayekulilia? Au ni nani atakayegeuka upande ili kuuliza habari za hali yako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ni nani atakayewahurumia, enyi watu wa Yerusalemu? Ni nani atakayeomboleza juu yenu? Nani atasimama kuuliza habari zenu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ni nani atakayekuhurumia, Ee Yerusalemu? Ni nani atakayeomboleza kwa ajili yako? Ni nani atakayesimama ili kuuliza kuhusu hali yako?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ni nani atakayekuhurumia, ee Yerusalemu? Ni nani atakayeomboleza kwa ajili yako? Ni nani atakayesimama ili kuuliza kuhusu hali yako?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana ni nani atakayekuhurumia, Ee Yerusalemu? Au ni nani atakayekulilia? Au ni nani atakayegeuka upande ili kuuliza habari za hali yako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ni nani atakayewahurumia, enyi watu wa Yerusalemu? Ni nani atakayeomboleza juu yenu? Nani atasimama kuuliza habari zenu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko nani atakayekuhurumia, Yerusalemu? Yuko nani atakayekulilia? Au yuko nani atakayekufikia kukuuliza, kama unakaa vema?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana ni nani atakayekuhurumia, Ee Yerusalemu? Au ni nani atakayekulilia? Au ni nani atakayegeuka upande ili kuuliza habari za hali yako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni nani atakayewahurumia, enyi watu wa Yerusalema? Ni nani atakayeomboleza juu yenu? Nani atasimama kuuliza habari zenu?