Jeremiah 15:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi mmenikataa mimi, nasema mimi Mwenyezi-Mungu; nyinyi mmeniacha mkarudi nyuma. Hivyo nimenyosha mkono kuwaangamiza, kwa kuwa nimechoka kuwahurumia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umenikataa mimi,” asema Mwenyezi Mungu. “Unazidi kukengeuka. Hivyo nitanyoosha mkono wangu juu yako na kukuangamiza, siwezi kuendelea kukuonea huruma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umenikataa mimi, asema Bwana, umerudi nyuma; ndiyo maana nimenyosha mkono wangu juu yako, na kukuangamiza; nimechoka kwa kughairi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi mmenikataa mimi, nasema mimi Mwenyezi-Mungu; nyinyi mmeniacha mkarudi nyuma. Hivyo nimenyosha mkono kuwaangamiza, kwa kuwa nimechoka kuwahurumia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umenikataa mimi,” asema BWANA. “Unazidi kukengeuka. Hivyo nitanyosha mkono wangu juu yako na kukuangamiza, siwezi kuendelea kukuonea huruma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umenikataa mimi,” asema bwana. “Unazidi kukengeuka. Hivyo nitanyoosha mkono wangu juu yako na kukuangamiza, siwezi kuendelea kukuonea huruma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umenikataa mimi, asema BWANA, umerudi nyuma; ndiyo maana nimenyosha mkono wangu juu yako, na kukuangamiza; nimechoka kwa kughairi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi mmenikataa mimi, nasema mimi Mwenyezi-Mungu; nyinyi mmeniacha mkarudi nyuma. Hivyo nimenyosha mkono kuwaangamiza, kwa kuwa nimechoka kuwahurumia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana: Wewe umenitupa, ukarudi nyuma; ndipo, nilipoukunjua mkono wangu, ukukamate, nikakumaliza, maana nilikuwa nimechoka kuona uchungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umenikataa mimi, asema BWANA, umerudi nyuma; ndiyo maana nimenyosha mkono wangu juu yako, na kukuangamiza; nimechoka kwa kughairi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi mumenikataa mimi. –Ni ujumbe wa Yawe.– Ninyi mumeniacha na kurudi nyuma. Kwa hiyo nimenyoosha mukono kwa kuwaangamiza. Nimechoka na kuwahurumia.