Jeremiah 15:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimewapepeta kwa chombo cha kupuria, katika kila mji nchini; nimewaangamiza watu wangu, kwa kuwaulia mbali watoto wao, lakini hawakuacha njia zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawapepeta kwa ungo kwenye malango ya miji ya nchi. Nitaleta msiba na maangamizi juu ya watu wangu, kwa maana hawajabadili njia zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nimewapepea kwa kipepeo katika malango ya nchi nimewaondolea watoto wao, nimewaharibu watu wangu; hata hivyo hawakurudi na kuziacha njia zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimewapepeta kwa chombo cha kupuria, katika kila mji nchini; nimewaangamiza watu wangu, kwa kuwaulia mbali watoto wao, lakini hawakuacha njia zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawapepeta kwa uma wa kupepetea kwenye malango ya miji katika nchi. Nitaleta msiba na maangamizi juu ya watu wangu, kwa maana hawajabadili njia zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawapepeta kwa uma wa kupepetea kwenye malango ya miji katika nchi. Nitaleta msiba na maangamizi juu ya watu wangu, kwa maana hawajabadili njia zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nimewapepea kwa kipepeo katika malango ya nchi nimewaondolea watoto wao, nimewaharibu watu wangu; hata hivyo hawakurudi na kuziacha njia zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimewapepeta kwa chombo cha kupuria, katika kila mji nchini; nimewaangamiza watu wangu, kwa kuwaulia mbali watoto wao, lakini hawakuacha njia zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo nimewapepeta ungoni kwenye malango ya nchi hii, nikawaua watoto wao, nikawaangamiza waliokuwa ukoo wangu, lakini hawakurudi katika njia zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nimewapepea kwa kipepeo katika malango ya nchi nimewaondolea watoto wao, nimewaharibu watu wangu; hata hivyo hawakurudi na kuziacha njia zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimepepeta watu wangu kwa kuwasambaza sawa maganda, toka katika kila muji wa inchi yao. Nimewaangamiza kwa kuwaua watoto wao, lakini hawakuacha mwenendo wao.