Jeremiah 15:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wajane wao wamekuwa wengi kuliko mchanga wa bahari. Kina mama wa watoto walio vijana nimewaletea mwangamizi mchana. Nimesababisha uchungu na vitisho viwapate kwa ghafla.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawafanya wajane wao kuwa wengi kuliko mchanga wa bahari. Wakati wa adhuhuri nitamleta mwangamizi dhidi ya mama wa vijana wao wa kiume; kwa ghafula nitaleta juu yao maumivu makuu na hofu kuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wajane wao wameongezeka kwangu kuliko mchanga wa bahari; nimeleta mwenye kuteka wakati wa adhuhuri juu ya mama wa vijana; nimeleta hamu na maogofyo yampate ghafula.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wajane wao wamekuwa wengi kuliko mchanga wa bahari. Kina mama wa watoto walio vijana nimewaletea mwangamizi mchana. Nimesababisha uchungu na vitisho viwapate kwa ghafla.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawafanya wajane wao kuwa wengi kuliko mchanga wa bahari. Wakati wa adhuhuri nitamleta mharabu dhidi ya mama wa vijana wao waume; kwa ghafula nitaleta juu yao maumivu makuu na hofu kuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawafanya wajane wao kuwa wengi kuliko mchanga wa bahari. Wakati wa adhuhuri nitamleta mharabu dhidi ya mama wa vijana wao waume; kwa ghafula nitaleta juu yao maumivu makuu na hofu kuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wajane wao wameongezeka kwangu kuliko mchanga wa bahari; nimeleta mwenye kuteka wakati wa adhuhuri juu ya mama wa vijana; nimeleta uchungu na hofu kuu impate ghafla.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wajane wao wamekuwa wengi kuliko mchanga wa bahari. Kina mama wa watoto walio vijana nimewaletea mwangamizi mchana. Nimesababisha uchungu na vitisho viwapate kwa ghafla.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikiwahesabu wajane wao, ni wengi kuliko mchanga wa baharini; maana mwenye kuua mchana nimemleta kwao kwa mama wenye vijana, mara nikawaangushia mastuko na mashangao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wajane wao wameongezeka kwangu kuliko mchanga wa bahari; nimeleta mwenye kuteka wakati wa adhuhuri juu ya mama wa vijana; nimeleta hamu na maogofyo yampate ghafula.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wajane wao wamekuwa wengi kuliko muchanga wa bahari. Nao wamama wenye watoto vijana nimewaletea mwangamizaji muchana kati. Nimesababisha uchungu na vitisho viwapate kwa rafla.