Jeremiah 16:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawe utakapowaambia watu hao maneno haya yote, wao watakuuliza, ‘Kwa nini Mwenyezi-Mungu ametamka uovu huu mkubwa dhidi yetu? Tumefanya kosa gani? Tumetenda dhambi gani dhidi ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Utakapowaambia watu hawa mambo haya yote na wakakuuliza, ‘Kwa nini Mwenyezi Mungu ameamuru maafa makubwa kama haya dhidi yetu? Tumefanya kosa gani? Tumetenda dhambi gani dhidi ya Mwenyezi Mungu, Mungu wetu?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena itakuwa, utakapowaonyesha watu hawa maneno haya yote, nao wakakuambia, Mbona Bwana amenena juu yetu mabaya haya makuu? Uovu wetu ni uovu gani? Na dhambi yetu, tuliyomtenda Bwana, Mungu wetu, ni nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawe utakapowaambia watu hao maneno haya yote, wao watakuuliza, ‘Kwa nini Mwenyezi-Mungu ametamka uovu huu mkubwa dhidi yetu? Tumefanya kosa gani? Tumetenda dhambi gani dhidi ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Utakapowaambia watu hawa mambo haya yote na wakakuuliza, ‘Kwa nini BWANA ameamuru maafa makubwa kama haya dhidi yetu? Tumefanya kosa gani? Tumetenda dhambi gani dhidi ya BWANA, Mungu wetu?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Utakapowaambia watu hawa mambo haya yote na wakakuuliza, ‘Kwa nini bwana ameamuru maafa makubwa kama haya dhidi yetu? Tumefanya kosa gani? Tumetenda dhambi gani dhidi ya bwana, Mungu wetu?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena itakuwa, utakapowaonesha watu hawa maneno haya yote, nao wakakuambia, Mbona BWANA amenena juu yetu mabaya haya makuu? Uovu wetu ni uovu gani? Na dhambi yetu, tuliyomtenda BWANA, Mungu wetu, ni nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawe utakapowaambia watu hao maneno haya yote, wao watakuuliza, ‘Kwa nini Mwenyezi-Mungu ametamka uovu huu mkubwa dhidi yetu? Tumefanya kosa gani? Tumetenda dhambi gani dhidi ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakuwa, utakapowapasha wao wa ukoo huu habari hizi zote, watakuuliza: Kwa sababu gani Bwana anatutakia haya mabaya yote yaliyo makuu? Tumekora manza gani? Bwana Mungu wetu, tumekosa makosa gani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena itakuwa, utakapowaonyesha watu hawa maneno haya yote, nao wakakuambia, Mbona BWANA amenena juu yetu mabaya haya makuu? Uovu wetu ni uovu gani? Na dhambi yetu, tuliyomtenda BWANA, Mungu wetu, ni nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nawe utakapowaambia watu hao maneno haya yote, wao watakuuliza: Kwa nini Yawe amekusudia hasara hii kubwa juu yetu? Tumefanya uovu gani? Tumetenda zambi gani mbele ya Yawe, Mungu wetu?