Jeremiah 16:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kwa hiyo siku zaja, nasema mimi Mwenyezi-Mungu ambapo watu hawataapa tena kwa kusema, ‘Kama aishivyo Mwenyezi-Mungu aliyewatoa watu wa Israeli kutoka nchini Misri’;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hata hivyo, siku zinakuja,” asema Mwenyezi Mungu, “wakati watu hawatasema tena, ‘Hakika kama Mwenyezi Mungu aishivyo, aliyewapandisha Waisraeli kutoka Misri,’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo, angalia, siku zinakuja, asema Bwana, ambapo hawatasema tena, Aishivyo Bwana, aliyewaleta wana wa Israeli toka nchi ya Misri;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kwa hiyo siku zaja, nasema mimi Mwenyezi-Mungu ambapo watu hawataapa tena kwa kusema, ‘Kama aishivyo Mwenyezi-Mungu aliyewatoa watu wa Israeli kutoka nchini Misri’;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hata hivyo, siku zinakuja,” asema BWANA, “wakati ambapo watu hawatasema tena, ‘Hakika kama BWANA aishivyo, aliyewapandisha Waisraeli kutoka Misri,’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hata hivyo, siku zinakuja,” asema bwana, “wakati ambapo watu hawatasema tena, ‘Hakika kama bwana aishivyo, aliyewapandisha Waisraeli kutoka Misri,’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo, angalia, siku zinakuja, asema BWANA, ambapo hawatasema tena, Aishivyo BWANA, aliyewaleta wana wa Israeli toka nchi ya Misri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kwa hiyo siku zaja, nasema mimi Mwenyezi-Mungu ambapo watu hawataapa tena kwa kusema, ‘Kama aishivyo Mwenyezi-Mungu aliyewatoa watu wa Israeli kutoka nchini Misri’;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana: Mtaona kweli, siku zikija, watu watakapoacha kuapa wakisema: Hivyo, Bwana alivyo Mwenye uzima aliyewatoa wana wa Isiraeli katika nchi ya Misri!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo, angalia, siku zinakuja, asema BWANA, ambapo hawatasema tena, Aishivyo BWANA, aliyewaleta wana wa Israeli toka nchi ya Misri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, siku zinakuja ambapo watu hawataapa tena wakisema: Kama vile Yawe anavyoishi, yule aliyewaondoa Waisraeli kutoka inchi Misri.