Jeremiah 16:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, binadamu aweza kujitengenezea miungu? Basi, hao si miungu hata kidogo!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, watu hujitengenezea miungu yao wenyewe? Lakini hiyo si Mungu!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Mwanadamu ajifanyie miungu, wasio miungu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, binadamu aweza kujitengenezea miungu? Basi, hao si miungu hata kidogo!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, watu hujitengenezea miungu yao wenyewe? Naam, lakini hao si miungu!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, watu hujitengenezea miungu yao wenyewe? Naam, lakini hao si miungu!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Mwanadamu ajifanyie miungu, wasio miungu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, binadamu aweza kujitengenezea miungu? Basi, hao si miungu hata kidogo!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Mtu atawezaje kujitengenezea miungu? Kweli siyo miungu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Mwanadamu ajifanyie miungu, wasio miungu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwanadamu anaweza kujitengenezea miungu? Kweli hiyo si miungu hata kidogo!