Jeremiah 16:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Usiingie katika nyumba wanamofanya karamu. Usiketi kula na kunywa pamoja nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Usiingie katika nyumba ambayo kuna karamu, na kuketi humo ili kula na kunywa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala usiingie ndani katika nyumba yenye karamu, kuketi pamoja nao, na kula na kunywa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Usiingie katika nyumba wanamofanya karamu. Usiketi kula na kunywa pamoja nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Usiingie katika nyumba ambayo kuna karamu na kuketi humo ili kula na kunywa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Usiingie katika nyumba ambayo kuna karamu, na kuketi humo ili kula na kunywa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala usiingie ndani katika nyumba yenye karamu, kuketi pamoja nao, na kula na kunywa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Usiingie katika nyumba wanamofanya karamu. Usiketi kula na kunywa pamoja nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Namo nyumbani mwenye karamu usimwingie kukaa nao, mkila, mkinywa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala usiingie ndani katika nyumba yenye karamu, kuketi pamoja nao, na kula na kunywa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiingie katika nyumba watu wanamofanya karamu. Usiikae kula na kunywa pamoja nao.