Jeremiah 17:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuna kiti cha enzi kitukufu kiti kilichoinuliwa juu; huko ndiko mahali petu patakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kiti cha enzi kilichotukuzwa, kilichoinuliwa tangu mwanzo, ndiyo sehemu yetu ya mahali patakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kiti cha enzi, cha utukufu, kilichowekwa juu tangu mwanzo, ndicho mahali patakatifu petu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuna kiti cha enzi kitukufu kiti kilichoinuliwa juu; huko ndiko mahali petu patakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kiti cha enzi kilichotukuzwa, kilichoinuliwa tangu mwanzo, ndiyo sehemu yetu ya mahali patakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kiti cha enzi kilichotukuzwa, kilichoinuliwa tangu mwanzo, ndiyo sehemu yetu ya mahali patakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kiti cha enzi, cha utukufu, kilichowekwa juu tangu mwanzo, ndicho mahali patakatifu petu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuna kiti cha enzi kitukufu kiti kilichoinuliwa juu; huko ndiko mahali petu patakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe kiti chenye utukufu umetukuka tangu mwanzo, ndipo mahali petu patakatifu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kiti cha enzi, cha utukufu, kilichowekwa juu tangu mwanzo, ndicho mahali patakatifu petu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuna kiti cha kifalme chenye utukufu kinachoinuka juu tangu mwanzo wa vyote, ndipo pahali petu patakatifu.