Jeremiah 17:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uniponye, ee Mwenyezi-Mungu, nami nitapona; uniokoe, nami nitaokoka; maana, wewe ndiwe sifa yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uniponye, Ee Mwenyezi Mungu, nami nitaponyeka; uniokoe nami nitaokoka, kwa maana wewe ndiwe ninayekusifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uniponye, Ee Bwana, nami nitaponyeka; uniokoe, nami nitaokoka; kwa maana wewe ndiwe uliye sifa zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uniponye, ee Mwenyezi-Mungu, nami nitapona; uniokoe, nami nitaokoka; maana, wewe ndiwe sifa yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uniponye, Ee BWANA, nami nitaponyeka; uniokoe nami nitaokoka, kwa maana wewe ndiwe ninayekusifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uniponye, Ee bwana, nami nitaponyeka; uniokoe nami nitaokoka, kwa maana wewe ndiwe ninayekusifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uniponye, Ee BWANA, nami nitaponyeka; uniokoe, nami nitaokoka; kwa maana wewe ndiwe uliye sifa zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uniponye, ee Mwenyezi-Mungu, nami nitapona; uniokoe, nami nitaokoka; maana, wewe ndiwe sifa yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niponye, Bwana! Ndivyo, nitakavyopona. Niokoe! Ndivyo, nitakavyookoka; kwani wewe ndiwe shangilio langu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uniponye, Ee BWANA, nami nitaponyeka; uniokoe, nami nitaokoka; kwa maana wewe ndiwe uliye sifa zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uniponyeshe, ee Yawe, nami nitapona; uniokoe, nami nitaokoka; maana, wewe ndiwe sifa yangu.