Jeremiah 17:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazama watu wanavyoniambia: “Jambo alilotishia Mwenyezi-Mungu liko wapi? Acha basi lije!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wao huendelea kuniambia, “Liko wapi neno la Mwenyezi Mungu? Sasa na litimie!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, wao waniambia, Neno la Bwana liko wapi? Na lije, basi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazama watu wanavyoniambia: “Jambo alilotishia Mwenyezi-Mungu liko wapi? Acha basi lije!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao huendelea kuniambia, “Liko wapi neno la BWANA? Sasa na litimie!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao huendelea kuniambia, “Liko wapi neno la bwana? Sasa na litimie!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, wao waniambia, Neno la BWANA liko wapi? Na lije, basi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazama watu wanavyoniambia: “Jambo alilotishia Mwenyezi-Mungu liko wapi? Acha basi lije!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watazame wanaoniambia: Neno lake Bwana liko wapi? Na lije!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, wao waniambia, Neno la BWANA liko wapi? Na lije, basi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia jinsi watu wanavyoniambia: Vile vitisho vya Yawe viko wapi? Vifike basi!