Jeremiah 17:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikuikimbia huduma yako ya kuwa mchungaji wala sikutamani ile siku ya maafa ije. Wewe mwenyewe wajua nilichosema kwa mdomo wangu, nilichotamka wakijua waziwazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sijakukimbia na kuacha kuwa mchungaji wako; unajua sijaitamani siku ya kukata tamaa. Kile kipitacho mdomoni mwangu ki wazi mbele yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi hapa sikufanya haraka kuacha kuwa mchungaji nyuma yako; wala sikuitamani siku ya maradhi ya kufisha; wewe unajua; yaliyotoka midomoni mwangu yalikuwa mbele za uso wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikuikimbia huduma yako ya kuwa mchungaji wala sikutamani ile siku ya maafa ije. Wewe mwenyewe wajua nilichosema kwa mdomo wangu, nilichotamka wakijua waziwazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sijakukimbia na kuacha kuwa mchungaji wako; unajua sijaitamani siku ya kukata tamaa. Kile kipitacho midomoni mwangu ki wazi mbele yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sijakukimbia na kuacha kuwa mchungaji wako; unajua sijaitamani siku ya kukata tamaa. Kile kipitacho midomoni mwangu ki wazi mbele yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi hapa sikufanya haraka kuacha kuwa mchungaji nyuma yako; wala sikuitamani siku ya maradhi ya kuua; wewe unajua; yaliyotoka midomoni mwangu yalikuwa mbele za uso wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikuikimbia huduma yako ya kuwa mchungaji wala sikutamani ile siku ya maafa ije. Wewe mwenyewe wajua nilichosema kwa mdomo wangu, nilichotamka wakijua waziwazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi sikujitoa katika uchungaji, nisikufuate, wala sikutaka, siku yenye uchungu iwajie, kama wewe unavyojua; yaliyotoka midomoni mwangu yako wazi usoni pako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi hapa sikufanya haraka kuacha kuwa mchungaji nyuma yako; wala sikuitamani siku ya maradhi ya kufisha; wewe unajua; yaliyotoka midomoni mwangu yalikuwa mbele za uso wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikukukaza kutenda mabaya, wala sikutamani ile siku ya hasara ifike. Wewe mwenyewe unajua maneno niliyosema mbele yako.