Jeremiah 17:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakati watu wake wanakumbuka madhabahu zao na sanamu za mungu wa kike, Ashera, zilizowekwa kando ya miti mibichi juu ya vilele vya vilima,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata watoto wao wanakumbuka madhabahu zao na nguzo za Ashera kandokando ya miti iliyotanda na juu ya vilima virefu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na wakati huo watoto wao wazikumbuka madhabahu zao, na maashera yao, karibu na miti yenye majani mabichi juu ya milima mirefu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakati watu wake wanakumbuka madhabahu zao na sanamu za mungu wa kike, Ashera, zilizowekwa kando ya miti mibichi juu ya vilele vya vilima,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata watoto wao wanakumbuka madhabahu zao na nguzo za Ashera kandokando ya miti iliyotanda na juu ya vilima virefu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata watoto wao wanakumbuka madhabahu zao na nguzo za Ashera, kandokando ya miti iliyotanda na juu ya vilima virefu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na wakati huo watoto wao wazikumbuka madhabahu zao, na maashera yao, karibu na miti yenye majani mabichi juu ya milima mirefu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakati watu wake wanakumbuka madhabahu zao na sanamu za mungu wa kike, Ashera, zilizowekwa kando ya miti mibichi juu ya vilele vya vilima,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo wana wao huzikumbuka meza zao za kutambikia na vinyago vyao vya Ashera, wanapoona mti wenye majani mengi au wanapofika vilimani juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na wakati huo watoto wao wazikumbuka madhabahu zao, na maashera yao, karibu na miti yenye majani mabichi juu ya milima mirefu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watoto wao wanakumbuka mazabahu zao na sanamu za mungu muke, Ashera, zilizowekwa kando ya miti mibichi, juu ya vilele vya vilima