Jeremiah 17:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikieni neno la Mwenyezi-Mungu enyi wafalme wa Yuda, nanyi watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu ambao huingia kwa kupitia malango haya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waambie, ‘Sikieni neno la Mwenyezi Mungu, enyi wafalme wa Yuda, nanyi watu wote wa Yuda, na kila mmoja aishiye Yerusalemu apitaye katika malango haya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ukawaambie, Lisikieni neno la Bwana, enyi wafalme wa Yuda, na Yuda wote, nanyi wenyeji wote wa Yerusalemu, ninyi mwingiao kwa malango haya;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikieni neno la Mwenyezi-Mungu enyi wafalme wa Yuda, nanyi watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu ambao huingia kwa kupitia malango haya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waambie, ‘Sikieni neno la BWANA, Enyi wafalme wa Yuda nanyi watu wote wa Yuda na kila mmoja aishiye Yerusalemu apitaye katika malango haya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waambie, ‘Sikieni neno la bwana, enyi wafalme wa Yuda, nanyi watu wote wa Yuda, na kila mmoja aishiye Yerusalemu apitaye katika malango haya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ukawaambie, Lisikieni neno la BWANA, enyi wafalme wa Yuda, na Yuda wote, nanyi wenyeji wote wa Yerusalemu, ninyi mwingiao kwa malango haya;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikieni neno la Mwenyezi-Mungu enyi wafalme wa Yuda, nanyi watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu ambao huingia kwa kupitia malango haya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kawaambie: Lisikieni neno la Bwana, ninyi wafalme wa Yuda nanyi Wayuda nyote nanyi nyote mkaao Yerusalemu mnaopitia humu malangoni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ukawaambie, Lisikieni neno la BWANA, enyi wafalme wa Yuda, na Yuda wote, nanyi wenyeji wote wa Yerusalemu, ninyi mwingiao kwa malango haya;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikie neno la Yawe, enyi wafalme wa Yuda, ninyi watu wa Yuda na wakaaji wa Yerusalema ambao wanaopitia kwenye milango hii.