Jeremiah 17:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msibebe mzigo kutoka majumbani mwenu siku ya Sabato wala kufanya kazi. Iadhimisheni siku ya Sabato kama siku takatifu kama nilivyowaamuru wazee wenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msitoe mizigo nje ya nyumba zenu wala kufanya kazi yoyote siku ya Sabato, lakini itakaseni siku ya Sabato, kama nilivyowaamuru baba zenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala msitoe mzigo katika nyumba zenu siku ya sabato, wala msifanye kazi yo yote; bali itakaseni siku ya sabato, kama nilivyowaamuru baba zenu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msibebe mzigo kutoka majumbani mwenu siku ya Sabato wala kufanya kazi. Iadhimisheni siku ya Sabato kama siku takatifu kama nilivyowaamuru wazee wenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msitoe mizigo nje ya nyumba zenu wala kufanya kazi yo yote wakati wa Sabato, lakini itakaseni siku ya Sabato, kama nilivyowaamuru baba zenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msitoe mizigo nje ya nyumba zenu wala kufanya kazi yoyote wakati wa Sabato, lakini itakaseni siku ya Sabato, kama nilivyowaamuru baba zenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala msitoe mzigo katika nyumba zenu siku ya sabato, wala msifanye kazi yoyote; bali itakaseni siku ya sabato, kama nilivyowaamuru baba zenu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msibebe mzigo kutoka majumbani mwenu siku ya Sabato wala kufanya kazi. Iadhimisheni siku ya Sabato kama siku takatifu kama nilivyowaamuru wazee wenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wala msitoe mzigo nyumbani mwenu siku ya mapumziko! Wala msifanye kazi yo yote! Ila itakaseni siku ya mapumziko, kama nilivyowaagiza baba zenu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala msitoe mzigo katika nyumba zenu siku ya sabato, wala msifanye kazi yo yote; bali itakaseni siku ya sabato, kama nilivyowaamuru baba zenu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musibebe muzigo kutoka nyumba zenu siku ya Sabato wala kufanya kazi yoyote. Lakini muihesabu siku ya Sabato kuwa takatifu kama nilivyowaamuru babu zenu.