Jeremiah 17:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wazee wenu hawakunisikiliza wala kujali, bali walivifanya vichwa vyao kuwa vigumu, wakakataa kusikia na kufuata maagizo yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo hawakusikiliza wala kujali, walishupaza shingo zao, na hawakutaka kusikia wala kukubali adhabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini hawakusikiliza, wala hawakutega masikio yao, bali walifanya shingo zao kuwa ngumu, ili wasisikilize wala wasipokee mafundisho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wazee wenu hawakunisikiliza wala kujali, bali walivifanya vichwa vyao kuwa vigumu, wakakataa kusikia na kufuata maagizo yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo hawakusikiliza wala kujali, walishupaza shingo zao na hawakutaka kusikia wala kukubali marudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo hawakusikiliza wala kujali, walishupaza shingo zao, na hawakutaka kusikia wala kukubali adhabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini hawakusikiliza, wala hawakutega masikio yao, bali walifanya shingo zao kuwa ngumu, ili wasisikilize wala wasipokee mafundisho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wazee wenu hawakunisikiliza wala kujali, bali walivifanya vichwa vyao kuwa vigumu, wakakataa kusikia na kufuata maagizo yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hawakusikia, wala hawakuyatega masikio yao, wakazishupaza kosi zao, wasisikie, wasionyeke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini hawakusikiliza, wala hawakutega masikio yao, bali walifanya shingo zao kuwa ngumu, ili wasisikilize wala wasipokee mafundisho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ingawa hivyo babu zenu hawakunisikiliza wala kunitegea sikio, lakini walifanya vichwa vyao kuwa vigumu, wakakataa kusikia na kufuata maagizo yangu.