Jeremiah 17:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na juu ya milima katika sehemu tambarare. Mali yenu na hazina zenu zote nitazitoa zitekwe nyara kulipia dhambi zenu mlizotenda kila mahali nchini mwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mlima wangu katika nchi pamoja na utajiri na hazina zako zote nitavitoa viwe nyara, pamoja na mahali pako pa juu pa kuabudia kwa sababu ya dhambi katika nchi yako yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee mlima wangu wa uwandani, nitatoa mali zako na hazina zako zote ziwe nyara, na mahali pako palipoinuka, kwa sababu ya dhambi, katika mipaka yako yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na juu ya milima katika sehemu tambarare. Mali yenu na hazina zenu zote nitazitoa zitekwe nyara kulipia dhambi zenu mlizotendakila mahali nchini mwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mlima wangu katika nchi pamoja na utajiri na hazina zako zote nitazitoa ziwe nyara, pamoja na mahali pako pa juu pa kuabudia miungu kwa sababu ya dhambi katika nchi yako yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mlima wangu katika nchi pamoja na utajiri na hazina zako zote nitazitoa ziwe nyara, pamoja na mahali pako pa juu pa kuabudia miungu kwa sababu ya dhambi katika nchi yako yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee mlima wangu wa uwandani, nitatoa mali zako na hazina zako zote ziwe nyara, na mahali pako palipoinuka, kwa sababu ya dhambi, katika mipaka yako yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na juu ya milima katika sehemu tambarare. Mali yenu na hazina zenu zote nitazitoa zitekwe nyara kulipia dhambi zenu mlizotenda kila mahali nchini mwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mlima wangu ulioko shambani na mali zako na vilimbiko vyako vyote vilivyoko vilimani nitavitoa, vipokonywe, kwa ajili ya makosa yako, uliyoyakosa katika mipaka yako yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee mlima wangu wa uwandani, nitatoa mali zako na hazina zako zote ziwe nyara, na mahali pako palipoinuka, kwa sababu ya dhambi, katika mipaka yako yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na juu ya milima katika mbuga. Mali yenu na akiba zenu zote nitazitoa zitekwe kwa kulipia zambi zenu mulizotenda kila pahali katika inchi yenu.